Watalii wa ndani wakifurahia mandhari ya mchanga wa ajabu unaosafiri ndani ya mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,mkoani Arusha

Watalii wakishanga na kupiga picha ndani ya Kreta ya Ngorongoro
Flamingo,pundamilia na nyumbu ndani ya kreta ya Ngorongoro
Watalii wakiangalia tembo Ngorongoro
Ukienda kreta ya Ngorongoro unaweza pia kuona faru
0 comments:
Post a Comment