MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA NA KAIMU RAIS DKT.MOHAMMED GHALIB BILAL AKIAMUAPISHA KUWA
KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII DKT.ADELHELM JAMES MERU
KWENYE HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. NA
MATUKIO MENGINE NI UKARIBISHO WA KATIBU MKUU MPINGO HOUSE TAYARI KWA
KUANZA KAZI.
SOURCE;Ministry of Natural Resources & Tourism
0 comments:
Post a Comment