VIJUE VIINGILIO KATIKA HIFADHI MBALIMBALI HAPA TANZANIA [JULY 2013 - JUNE 2015]

Hifadhi zimegawanywa katika daraja zifuatazo:
Daraja la Kwanza (Premium) - Serengeti, Kilimanjaro, Gombe, Mahale
Daraja la Pili (Gold) - Arusha, Tarangire, Ziwa Manyara, na Ruaha
Daraja la Tatu (Silver) - Mkomazi, Saadani, Mikumi. Udzungwa, Kitulo, Katavi,
na Rubondo.
A. Tozo ya uhifadhi kwa Hifadhi za Serengeti, Kilimanjaro, Gombe, Arusha,
Tarangire and Ziwa Manyara
a) Miaka 16 na zaidi 10,000
b) Miaka kati ya 5 na 16 2,000
c) Miaka chini ya 5 Bure
B. Tozo ya uhifadhi kwa Hifadhi za Katavi, Mikumi, Ruaha, Rubondo,
Saadani, Kitulo, Mahale, Mkomazi na Udzungwa

a) Miaka 16 na zaidi 5,000
b) Miaka kati ya 5 na 16 2,000
c) Miaka chini ya 5 Bure
C. Tozo za magari
a) )enye uzito usiopungua kilo 2000 20,000
b) )enye uzito kati ya kilo 2001 na 3000 35,000
c) )enye uzito kati ya kilo 3001 na 7000 60,000
d) )enye uzito kati ya kilo 7000 na zaidi 150,000
e) Magari ya wazi yatalipiwa ada ya kawaida na nyongeza ya asilimia 50%

D. Faini kwa magari (aina zote) yanayosababisha au
kupata ajali 200,000

I. Faini ya mwendo kasi (magari yote) 50,000
E. Ada ya mwaka kwa Magari / Tela / Boti / Ndege zisizokuwa za
kibiashara zinazokaa Hifadhini

a) )enye uzito usiozidi kilo 2000 50,000
b) )enye uzito kati ya kilo 2001 na 7000 100,000
c) )enye uzito zaidi ya kilo 7000 200,000
d) Trekta, tela na boti 50,000
e) Ndege 200,000
F. Tozo za kambi za Jumuiya (Public) Hifadhi zote isipokuwa Kilimanjaro
a) Miaka 16 na zaidi 5,000
b) Miaka kati ya 5 na 16 2,500
c) Miaka chini ya 5 Bure
G. Tozo za kambi maalum (Special) Hifadhi zote isipokuwa Kilimanjaro
a) Miaka 16 na zaidi 10,000
b) Miaka kati ya 5 na 16 5,000
c) Miaka chini ya 5 Bure
H. Tozo za kambi za jumuiya (Public) Kilimanjaro
a) Miaka 16 na zaidi 10,000
b) Miaka kati ya 5 na 16 5,000
c) Miaka chini ya 5 Bure
I. Tozo za kambi za msimu (Seasonal)
a) Miaka 16 na zaidi 15,000
b) Miaka kati ya 5 na 16 7,500
c) Miaka chini ya 5 Bure
J. Tozo za kambi za kuhamahama (Fly Camping) 5000
K. Tozo ya waongoza wageni/Huduma ya askari mwenye silaha (kwa kundi)
a) Mlima Meru 10,000
a) Hifadhi zote isipokuwa Kilimanjaro 5,000
L. Tozo ya Utali wa matembezi Hifadhini
a) Matembezi ya muda mfupi hadi masaa 4 kwa watu wazima 5000
b) Matembezi ya muda mfupi kwa watoto miaka 12 na zaidi 2500
c) Matembezi ya muda mrefu masaa 4 na zaidi kwa watu wazima 10,000
d) Matembezi ya muda mrefu kwa watoto wa miaka 12 na zaidi 5,000
M. Uvuvi wa kitalii kwa kutumia ndoana (Sport Fishing) (Gombe, Mahale,
Saadani, na Rubondo) kuanzia saa..........hadi........ jioni

a) Zaidi ya miaka 16 10,000
b) Kati miaka 5 - 16 5,000
c) Kukodisha ndoana (fishing rod) 10,000
N. Tozo za malazi (mawasiliano na Hifadhi yafanyike kabla)
a) Mlima Kilimanjaro: Mabanda ya Mandara Horombo na Kibo 5,000
b) Mlima Meru: Miriakamba na Saddle 2,000
c) Mabanda ya zamani Manyara na Ruaha 15,000
d) Hosteli; Kilimanjaro,Manyara, Serengeti, Mikumi, Ruaha na Gombe 5,000
e) Nyumba ya kupumzikia wageni Serengeti, Tarangire,
Ruaha, na Katavi 20,000
f) Nyumba ya kupumzikia wageni Udzungwa na Saadani 30,000
g) Nyumba ya kupumzikia wageni Gombe 10,000
h) Nyumba ya kupumzikia wageni Mikumi (kwa mtu mmoja) 30,000
(kwa watu wawili) 40,000
i) Nyumba ya kupumzikia wageni (Cottages) Ruaha (B&B)
Familia-(akubwa wawili na watoto wawili 50,000
Chumba chenye sebule (kwa mtu mmoja) 35,000
Chumba kisicho na sebule (kwa mtu mmoja) 25,000
j) Nyumba ya kupumzika wageni Arusha 15,000
O. Tozo ya Uokoaji
a) Mlima Kilimanjaro na Meru 2,000
P. Kupiga makasia (Arusha na Ziwa Manyara)
a) Kwa watu wazima 5,000
b) Kwa watoto 2,000
Q. Tozo ya Utalii wa kupiga makasia hadi masaa 3 (Mahale na Rubondo)
a) Kwa kila mtu 5,000
R. Tozo ya utalii wa usiku (Katavi, Ruaha, Mikumi, Tarangire na
Ziwa Manyara

a) Kwa watu wazima 10.000
b) Kwa watoto 5,000
S. Tozo ya kutua ndege za kigeni
a) Hadi watu 4 50 120
b) Kati ya watu 5 -12 120 170
c Zaidi ya watu 13 170 320
T. Tozo ya kutua ndege za Tanzania
a) Hadi watu 4 10.000 15,000
b) Kati ya watu 5 -12 15,000 20,000
c) Kati ya watu 13 - 20 20,000 35,000
d) Zaidi ya watu 20 50.000 60,000
U. Tozo ya kupiga Picha za kibiashara
a) Serengeti US$ 300
b) Gombe US$ 180
c) Mahale US$ 100
d) Hifadhi nyingine US$ 250
V. Tozo ya watoa huduma watanzania (crew) kwa siku, Hifadhi za
Serengeti, Kilimanjaro, Arusha, Tarangire, na Ziwa Manyara.
Hii ni kwa ajili
ya waongoza wageni, wapagazi na wapishi (Onyesha kitambulisho).
Hii inajumuisha gharama za uhifadhi TZS 1500 na
gharama ya kambi/banda TZS 2000 TZS 3,500
W. Tozo kwa watoa huduma watanzania kwa siku Hifadhi za Saadani,
Mikumi, Mkomazi, Uzungwa, Kitulo, Ruaha, Katavi, Rubondo, Gombe na
Mahale (Onyesha kitambulisho)
. Hii inahusisha gharama ya
uhifadhi Tshs 1,000 na gharama ya kambi TZS 2,000) TZS 3000
X. Tozo ya Utalii wa kula Chakula porini TZS 5000
Y. Safari za Mtumbwi Mahale, Rubondo, Gombe na Saadani) TShs 10,000
Z. Kukodi mitumbwi / magari gharama ya mafuta ongeza 40%
AA. Tozo za wanafunzi Watanzania kutoka shule za msingi, sekondari na
vyuo baada ya kuomba na kupata kibali kutoka kwa Mkuu wa hifadhi
husika TZS 1,000
BB. Ada ya kibali maalum kwa wakurugenzi wa makampuni ya Utalii kwa
mwaka (Gharama ya uhifadhi na gari) US$100.
CC, Tozo ya wasafiri watanzania wapitao hifadhini kwa usafiri wa kawaida
(public Transport). TZS 2000
DD. Tozo ya wasafiri watanzania wapitao
hifadhini kwa usafiri binafsi. TZS 5000


0 comments:

Post a Comment