KUTOKA WIZARA YA MALI ASILI NA UTALII

 Afisa Mwandamizi wa Idara ya Utalii, Bw. Joseph Sendwa ( wa tatu kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na crew ya Holywood waliokuja nchini kutengeneza filamu itakayotangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini Tanzania katika anga za kimataifa kupitia BBC, CNN na ALJEEZRA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ( wa kwanza kulia) akiwa na baadhi ya viongozi wa dini wakiwa kwenye gari la wazi wakiangalia kundi la tembo ( hawapo pichani) walipotembelea katika Hifadhi ya Tarangile kujionea athari za ujangili


0 comments:

Post a Comment