Wizara ya Maliasili na Utalii yapokea Magari ya Kusaidia Vita Dhidi ya Ujangili.

Wizara ya Maliasili na Utalii yapokea Magari ya Kusaidia Vita Dhidi ya Ujangili. 
Mhe. Lazaro Nyalandu akikata utepe wakati wa kukabidhi magari aina ya Toyote L/Cruiser
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu leo amekabidhi magari matatu aina ya Toyota Landcruiser kwa Idara ya Wanyamapori ikiwa ni msaada kutoka kwa The Howard Buffet Foundation ya Marekani. Mhe. L. Nyalandu alisema Serikali inaendeleza jitihada za kuhakikisha Idara ya Wanyamapori inapata vifaa muhimu vya doria ili kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya ujangili.
 
Mhe. Lazaro Nyalandu akiendesha moja ya magari aliyokabidhi.
 
Mhe. Lazaro Nyalandu akiongea na waandishi wa habari.


0 comments:

Post a Comment