WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII LAZARO NYALANDU AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WATANZANIA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA

 Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizungumza leo katika Club ya Yatch, Mwanza kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji Watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa
 Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizindua Usafiri wa Majini (boti) tayari kwa Uhamasishaji Watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa
 Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizindua Usafiri wa nchi kavu (gari) tayari kwa kusaidia kampeni ya Uhamasishaji Watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa
 Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu na  Mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wengine kwenye Halfa ya Uzinduzi wa  Kampeni ya Uhamasishaji Watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa
 Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akiwa na wanafunzi mbalimbali wa vyuo vya Mwanza leo katika Halfa ya Uzinduzi wa  Kampeni ya Uhamasishaji Watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa
Mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi akizungumza katika Halfa ya Uzinduzi wa  Kampeni ya Uhamasishaji Watanzania kutembelea Hifadhi za Taifa


0 comments:

Post a Comment