WAZIRI LAZARO NYALANDU ASHIRIKI HAFLA YA KUCHANGIA USTAWI WA MISITU KAMA VYANZO MUHIMU VYA MAJI BARANI AFRIKA JIJINI PENNSYLVANIA MAREKANI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) (kati) akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland (kulia) na Bw. John Bongiorno ambaye ni mdau katika sekta ya maji aliyeshiriki katika hafla hiyo
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani
Sehemu ya waalikwa waliohudhuria halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani


0 comments:

Post a Comment