Maadhimsho ya kumbukizi ya miaka 110 ya vita vya Mai maji.

 Baadhi ya wanafamalia wa Hayati Dkt Rashid Mfaume Kawawaw
 Mgeni rasmi Mhe. Thabit Said Mwambungu (wa pili kushoto) akiongozana na Mhe. Kingunge Ngombale Mwiru (wa pili kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhem Meru (wa kwanza kushoto) na Chifu wa Kabila la Wangoni Emmanuel Gama (wa kwanza kulia) wakiingia kwenye eneo walimonyongwa mashujaa wa vita vya maji maji.
 Wanajeshi wakitoa salamu za maombolezo
 Mgeni rasmi Mhe Thabit Said Mwambungu akitoa tuzo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt Adelhem Meru kwa kutambua mchango wa Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maadhimisho ya vita vya majimaji.

Mgeni rasmi akiangalia picha kwenye onesho la Dkt Kawawa
Mhe Thabit Said Mwambungu akikabidhi tuzo kwa Brigedia General John Mwita Chacha kwa kutambua mchango waJeshi kwenye maadhimisho ya kumbukizi ya vita vya majimaji
CHANZO: Wizara ya Maliasili na Utalii


0 comments:

Post a Comment