Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akitoa
maelezo ya kina kuhusu fursa za uwekezaji katika tasnia ya utalii wa Tanzania
wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini
lililofanyika Washington DC, Marekani.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula
akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington
DC, Marekani.
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji
wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi. Devota Mdachi akifafanua kwa kina fursa za
uwekezaji katika sekta ya utalii wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la
kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini Bi. Julieth
Kairuki akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la kuvutia
Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani.
Meza Kuu ya Wazungumzaji katika Kongamano la kuvutia wawekezaji
nchini lililofanyika Washington DC, Marekani. Kutoka Kushoto ni Mwezeshaji Bw.
Kamran Khan; Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu; Waziri wa
Uchukuzi Mhe. Harrison Mwakyembe; Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Bi.
Devota Mdachi na Uwekezaji nchini lililofanyika
Rais Jakaya Kikwete ambaye alikuwa Mzungumzaji Mkuu katika
Kongamano la kuvutia wawekezaji nchini lililofanyika jana Washington DC,
Marekani. Wengine pichani kutoka kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter
Muhongo, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu na Balozi wa
Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress.
0 comments:
Post a Comment