WAZIRI MKUU ALIPOTEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII JANA KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE MIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ( Kulia) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mahmoud Mgimwa ( wa pili kulia ) na Msemaji wa Wizara, Nurdin Chamuya (wa tatu kulia) wakiangalia Mnyama Simba ambaye hayupo pichani mara tu baada Kutembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma, Baadhi ni Maofisa Waandamizi wa Wizara ya Maliasili na Utali.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ( Kulia) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mahmoud Mgimwa, ( wa pili kushoto ) na Mkuu wa Banda, Kiange (wa kwanza kushoto) wakimsiliza kwa makinia Muoneshaji ( wa pili kulia) akiwaelezea mazao ya Nyuki baada Kutembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ( Kulia) alipotembelea Banda la asali la akina Mama wajasiliamali lijulikanalo kama SAKA ASALI akimsikiliza kwa makini Muoneshaji kuhusu vifungashio vya asali mara tu baada Kutembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kataika viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ( Kushoto) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mahmoud Mgimwa, ( wa pili kushoto ) wakimsiliza kwa makinia Muoneshaji ( wa pili kulia) akiwaelezea mazao ya Nyuki baada Kutembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ( Kushoto) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mahmoud Mgimwa, ( wa pili kushoto ) na Mkuu wa Banda, Kiange akifafanua jambo kwa wadau wa mazao ya Nyuki ( hawapo pichani ) baada ya Kutembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ( wa pili kushoto) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mahmoud Mgimwa, ( wa pili kulia ) mara baada ya kuwasili Kutembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma


0 comments:

Post a Comment