MHE.WAZIRI NYALANDU AKIWA KATIKA MASUALA YA KIJAMII

Mhe Lazaro Nyalandu akizungumza katika hafla iliyoandaliwa na Ilboru Alumni Foundation hivi karibuni iliyofanyika Serena Hotel.
Mhe. Nyalandu ni mojawapo ya Mwanafunzi aliyesoma katika shule hiyo iliyokuwa ni kati ya chache zilizoteuliwa kwa ajili ya wanafunzi wenye vipaji


1 comment: